Recent content by Sehewa Mkuu

  1. Sehewa Mkuu

    GE2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Tanga

    ....CCM utawajua tu kwa kujipa moyo..atutajie jimbo moja tu ambalo wameshinda....awe detailed kidogo kuhusu idadi ya kura, waliopiga au ngapi zimeharibika...asilimia hiyo inaweza kuwa ni ya walevi aliowakura kilabuni au wauza mitumba sokoni...
  2. Sehewa Mkuu

    GE2010 NO way, No how, No Slaa!

    ....kwa bahati mbaya wengi wanashindwa kumuelewa Dr. Slaa na mbaya zaidi wanachukulia juu juu tu kila anachokisema...tut0fautishe Sera na Ahadi...elimu bure ni Sera...kununua bajaji kwa wajawazito hiyo ni ahadi..sera inaambatana na mikakati na hapo inawahusisha watu wengi ndani na nje ya...
Back
Top Bottom