Njanuary is kicking the balls, Usisahau ku-tafuta alternative hata kama ndo tumelipa ada LOOH!
Don Julio kajificha kabisa yaani. Bili za maji na umeme tayari so here we go.
Hapa saaa is where movies and music have a perfect timing, Au tushasahau Insuka na jumba la dhahabu, aaa! Hapana name you...