hivi ingekuwa we ndio unatoka urai ingekuaje?? Sikwaubaguzi huo ivi kulipa visa for 16year ameipatia serikali kiasi gani unajua we we achana kuangalia viwanda tena hao ndio pesahazifiki kwenye serikali. Acha ushamba .Hebu nipe muongozo ya wawekezaji wengine wameifaidisha nchi nini.? Mwenye...
ww si Mungu ini mwanadamu tu kama mm wala sin idhini ya kukata tamaa na kukuogopa.. Sinanidhamu ya ya uoga ndio maana nimejianika tena na sisi tiza kusema biriani lake in tamu sana... Nitamuhangaikia kadri niwezavyo na mrejesho nitaurejesha humuhumu w atu kama we kwenye chuki... Asante.
Hivi unamuingizaje MTU nchini kinyemela hakuna uhamiaji airport zetu hakuna immigration kwenye mipaka yetu.... Inaonekana unachuki na bara LA Asia ndio maana mapovu kwa sana... .. We we ni afisa uhamiaji wa wapi mkoa gani??? Uhamiaji unatakiwa kupenda RAIA wakigeni na sio chuki zisizi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.