Recent content by secy24

  1. S

    Natafuta Mwenza (Mwanaume)

    Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu Umri: 34 Dini: Christian Kazi : mwajiriwa ( Government) Elimu:Degree Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo: Umri: 34-47 Dini: Mkristo Kazi: awe amejiajiri au kuajiriwa Kama unajijua mume wa mtu usinitumie sms asante.
Back
Top Bottom