Recent content by Secret Weapon

  1. S

    Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    Shukrani sana kiongozi
  2. S

    Anayolalamikia Reginald Mengi kama ni kweli, tunaelekea kwenye udikteta usiomithilika

    Kweli silaha ya mabadiliko ni elimu na uelewa, serikali inaona njia iliyobaki nidhibiti nyanja muhimu zinazotumika katika kuwaelimisha watu na kuwapa habari iliyo 'clean' na sio ya kuchakachuliwa kama ya TBC
  3. S

    Godbless Lema asaini ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto mkataba wenye thamani dola mil 3.2

    Uongozi bora sio kupanda jukwaani na story nyingi za kuwaadaa wananchi huku hamna vitendo. Tunahitaji kiongozi anaefanya kwa vitendo na kazi zake zinaonekana..
  4. S

    Godbless Lema asaini ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto mkataba wenye thamani dola mil 3.2

    Ni jambo la kujivunia sana pale kiongozi anapoumiza kichwa na kutafuta njia mbadala za kusaidia watu wake. Hongera sana Mhe. Lema, najua huu ni mwanzo tu
  5. S

    CHADEMA kurusha Chopa 5 kwenye Kanda moja katika kampeni Uchaguzi mkuu

    Pongezi kwa uongozi wa chama, kwa mipango yake mizuri
  6. S

    Zitto hajamfungulia kesi Mbowe kama ilivyodaiwa [KANUSHO]

    Unatumia M4C kama avatar then unasema uachwe na ACT yenu, mm namashaka haujui hata unafanya nini
  7. S

    Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

    Slaa ni kiongozi mwenye maadili sana, from official affairs to personal affairs.. Hata ukiangalia background yake, tofauti na baadhi ya viongozi wetu wa juu kabisa
  8. S

    Ofisi za CUF zachomwa moto.

    CCM never gets tired of doing dirty
Back
Top Bottom