Recent content by second lady

  1. second lady

    NAOMBA KUJUA SUFI INAPATIKANA WAPI KWA DAR

    Habari wanajf Naomba kufahamu sufi inauzwa wapi kwa dar na bei ipoje kwa kilo Natanguliza shukrani.
  2. second lady

    Namna ya kutengeneza lotion za kudamshi na serum yake

    Hello habibty naomba nifundishe na mm kutengeneza hyo lotion
  3. second lady

    Ni wapi naweza kupata nguo za mitumba za wanawake kwa Dar es Salaam?

    Asante lakini mm sitaki balo nahitaji za kupoint moja moja
  4. second lady

    Ni wapi naweza kupata nguo za mitumba za wanawake kwa Dar es Salaam?

    Habari za maisha wanaJF? Mimi naomba msaada ni wapi naweza kupata nguo kali za wadada za mtumba kwa bei nafuu hapa Dar haswaa zile wanazopenda kuvaa wanachuo nimeattach picha ya mfano wa nguo hapo. Natanguliza shukran zangu za dhati i
  5. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Umenunua bei gan??
  6. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Uko wap tunaweza kuonana
  7. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Wamesema hawanunui wanaexchange tu
  8. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Ni genuine maana ilikua kubwa ikabd niende dukani aliponunua wapunguze size kule posta mtaa wa indira gandhi
  9. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Asante sana ndugu yangu
  10. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Dah! Nisamehe mimi ndugu yangu [emoji120]
  11. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Okay asante
  12. second lady

    Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

    Ndiyo tupo pamoja kweny changamoto tumekubaliana tuuze
Back
Top Bottom