Recent content by Sebastian Oscar

  1. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Ni kweli hiyo ni changamoto ambayo inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa jitihadi inayofanywa kuhakikisha kiswahili inakuwa lugha rasmi ya Africa.
  2. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Nimepata ukakasi kuchanganya umoja na wingi katika sentensi moja .. mfano nilipotanguliza neno moja alafu nije kutumia mabara. Kwa uelewa wangu ndo uliopelekea nikatumia neno bara kuepusha kuchanganya umoja na wingi
  3. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Asante kwa kunifungua kwenye madhaifu yangu ya uandishi 👍👍
  4. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Mwisho wa andiko utaona alama ya kijani na idadi ya kura unabonyeza hicho kitufe cha kijani 🟢
  5. Sebastian Oscar

    SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Hongera kwa makala nzuri na yenye mtazamo chanya kwenye jamii. Ningependa kupata mawazo yako kwenye makala juu ya kesho ya Africa. SoC 2022 - Kesho ya Afrika ipo katika mtandao Ikikupendeza tupe kura yako na maoni yako
  6. Sebastian Oscar

    SoC02 Sababu kuu za changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo nchini Tanzania

    Hongera kwa makala nzuri na yenye mtazamo chanya kwenye jamii. Ningependa kupata mawazo yako kwenye makala juu ya kesho ya Africa. SoC 2022 - Kesho ya Afrika ipo katika mtandao Ikikupendeza tupe kura yako na maoni yako
  7. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Lengo kubwa ni kwa platform kuwa kwa ajili ya Africa na viwanda vyake.
  8. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Nimepata bahati ya kukaa China miaka mitano , nimejionea kwa namna gani biashara ya mtandao imeweza kubadilisha uchumi, kukuza sekta mbali mbali za uzalishaji na kuongeza ajira kwa watu tofauto. Siku moja katika jiji la Shandong Jinan, nilishuhudia supermarket ikipunguza na kufunga matawi...
  9. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Africa, ni moja ya bara lenye rasilimali nyingi, licha ya kuwa na rasilimali nyingi Africa bado inatambulika kama bara lenye uchumi wa tatu. Moja ya sababu kubwa inayoifanya Africa ishindwe kukuwa kiuchumi ni kukosa muunganiko wa soko. Ukitizama mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yote yanasifa...
Back
Top Bottom