Kuhusu FreeLander na Landrover zote kwa ujumla, yaani Defender,Freelander,Discovery na Range rover mnaweza kuniuliza maswali mengi muwezavyo hapa,
Nikianzia na FreeLander kwenye swami lako la msingi:
Matoleo ya mwanzo kabisa ya FreeLander yalipewa Polisi, baada ya warrant Kwisha FreeLander...
Radio zinazotoka na Freelander zinakua na pin code, ukitoa battery ya gari,au ukiitoa radio kwenye gari ukijakuirudisha redio yako ,haitawaka Bali itakudai pin code, sasa ukiuziwa radio ya FreeLander bila kupewa pin code umeliwa, haitafanya kazi,na hii ni kwa original radio zote za Landrover...
TV ni modification, magari yanayotoka na TV kiwandani ukiweka gia tu tayari kwa safari TV inazima, kwa Toyota zote original TV inaweza kuwaka tu lakini hutapata Chanel hata moja mpaka uweke parking brake( mtaani inaitwa hand brake), kwamaana Hiyo huwezi juendesha gari na wakati huohuo unaangalia TV
Hizi grand vitara zina matoleo yake, na kila toleo lina improvements za toleo lililopita, sasa anataka ushauri wa Grand vitara kwa ujumla wake au anataka toleo Fulani tu? Au labda tuseme Mwaka Fulani mpaka Mwaka fulani!!??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.