Recent content by seanherms

  1. S

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Pole ya nin sasa..mimi nimekuuliza tu kuhusu kauli yako ya kua biased na hapo hapo unaleta habari iliyoandaliwa na waisrael wenyewe😃
  2. S

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Haiji u swali bado..kwa nini awapeleke sehemu ambayo ameshaweka watu wengine wakati dunia ni kubwa na maeneo mengi yapo wazi?au kwa nini hao watu asingewaweka sehemu nyingine ili sehemu ya waisrael iwe wazi
  3. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Sawa..lakini ukiishia hapo na kuhitimisha unajilimit na inakua sio critical thinking tena. Maswali bado mengi..je yalirushwa kutoka umbali gani,je uwezo wake kwenda chini ni upi,je hicho kituo kilikua umbali gani kwenda chini,je blast yake inakua na imbact kwa circumference ipi likipigwa kwenye...
  4. S

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Israel je?wao walilinda anga lao?
  5. S

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Ilikuaje mungu wao akaweka watu kwenye maeneo ya watu wengine?
  6. S

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Kwanza..unasema mtu ambae hayuko biased huku ukileta habari ambayo imeandaliwa na israel Mwanzo wa habari tu imeandikwa kua imekua translated from hebrew
  7. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Unavyojibu maswali ni wazi unaitetea taarifa wala hujajitenga nayo..au na hilo pia hatuwezi kutumia akili zetu kutambua kama tunavyoweza kutambua impact ya vita?
  8. S

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Inawezekanaje unasema taarifa inasema miundombinu ya jeshi haikuguswa wakati heading tu inasema kambi tano zimepigwa???
  9. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Hakuna aliepinga hili..swala ni wewe kusupport program imerudi rudi nyuma kwa miaka kadhaa huku enrichment ikiwa ni miezi kadhaa na ukiulizwa phase gani ya program imerudi nyuma kwa miaka kadhaa hujui..inashangaza kusupport kitu bila kua na obvious facts
  10. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kuna mahali nimesema radiation ni mlipuko? By the way ni mlipuko,japo sio blast ni fallout!
  11. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Uharibifu utakua mkubwa lakini haina ulazima kua uharibifu umetokea kwenye focal point ya facility. Watu wawili wakipigwa risasi kwa kutumia bunduki moja,mmoja akapigwa ya bega mwingine ya kichwa watapata madhara tofauti kutokana na mahali walipojeruhiwa japo hio risasi ina nguvu sawa.
  12. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Sio hakuwezi..sema sio lazima maana inawezekana kabisa ku trigger chain reaction. Ila ni lazima pawe na radiation fallout
  13. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Ndo najiuliza..hivi hawa wanaichukuliaje uranium iliyorutubishwa???
  14. S

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Halafu..unawezake kulipua enriched uranium na kisiwe na blast?au hata dalili za blast ikiwepo tetemeko la ardhi au nuclear fallout kwenye openings za facility?tena 20% ya kilo 60 maana yake 20kgs za enriched atoms zilipuke na pawe kawaida tu????
Back
Top Bottom