Wakuu nilichaguliwa kwenye multiple, cha kushangaza jina naliona chuo kimoja na vyuo vingine silioni kwa vile ilikuwa mwisho tar 18 kukomfem nilituma kwa njia ya SMS kukomfem na walinijib welcome.
Sasa kumbe Mzumbe kuna majina yalikuwa yanasumbua mojawapo ni langu wakanipigia wakanielewesha...
Habari Ba ndugu nilichaguliwa second but multiple lkn cha kushangaza jina lilionekan mucos tyu Jana nimepigiwa SIMU ikinienelx nimechaguliw mzumbe wakati uo nishakomfemu mucos je sitak mucos ntk mzumbe nini nifanye hapa ndugu msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.