Hivi anamtetea Tibaijuka kwa lipi? Hivi ndugu Anna Tibaijuka anaweza akawaambia wananchi wa Tanzania ya kuwa ilikuwaje hadi apewe hiyo pesa ya ESCROW? Je alijuaje ESCROW kuna pesa na akaziomba? na kwanini ziingizwe kwenye A/C yake?. Je ni shule ngapi ziliomba hiyo pesa?
Huyo mbunge asuletee za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.