Recent content by Sayeda

  1. S

    Nabadilisha gari kwa trekta

    Nina Trekta nakucheki inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Natafuta mshirika kwenye kilimo

    Cheki pm Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Natafuta mshirika kwenye kilimo

    Nitakucheki Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Natafuta mshirika kwenye kilimo

    Milioni moja Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Natafuta mshirika kwenye kilimo

    Mimi mkulima nina trekta niko wilaya ya Kilombero kijiji cha Miwangani , mshirika atatoa pesa ya kukodi shamba tuanze na ekari 10 wakati wa Kiangazi sehemu za mabonde kuna maji yanaivisha mpunga mwezi wa Novemba. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Natafuta partnership kwenye madini

    Mleta uzi namfahamu yuko makini ana shahada ya minerals processing engineering toka chuo cha madini hadi sasa kweli ana uzoefu wa kutosha ktk uchenjuaji madini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Tractor

    Ninalo la kichina mil 11 tu nicheki inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Nahitaji tractor used dau langu 15mil

    Mini nayo made in China ni 2wd HP 55 inafanya kazi niandikie meseji 0762059950 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Nauza Trekta

    Nataka nibadili fani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Nauza Trekta

    Nataka nibadili fani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Nauza Trekta

    Halina tatizo kabisa spea zinapatikana halafu zinaingiliana na baadhi ya trekta Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Nauza Trekta

    Nina trekta langu HP 55 ambalo ni 2WD aina ya NAM TRUCK made in China mwaka 2014 bei ni milioni 12 tu liko Ifakara Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Nahitaji bodi ya Bajaj, Bajaj yangu imegongwa

    TVS rangi nyekundu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    Nahitaji bodi ya Bajaj, Bajaj yangu imegongwa

    Natafuta bodi ya bajaj kwa vile bajaj yangu iligongwa na kuharbika vibaya injini iko safi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. S

    Egyptian company wins tender to design and build Stieglers Gorge (2100MW)

    Mimi fundi welder natafuta kazi kwa hawa jamaa namba yangu 0786855808 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom