Recent content by saydu

  1. S

    Hatima ya waliokosa mkopo kutoka heslb

    Nashangaa na ninazidi kujiuliza kila siku, JE ni nini hatima ya wale waliokosa mkopo ambao Form zao za kuombea mkopo hazikuwa na kasoro? Je kwa wale walioandikiwa NOT ELIGIBLE wanaishia wapi? Je hawana haki? Je hao sio watanzania? Je wote wanauwezo wa kujilipia? Je wana JF mnalionaje hilo...
Back
Top Bottom