Recent content by SAUTIYANGU

  1. S

    Responded Songwe: Vifusi vilivyokuwa kero Barabara ya Sogea-Machinjioni (Tunduma) vyasambazwa

    Vifusi vilivyowekwa barabarani kwa muda mrefu katika Barabara ya Sogea - Machinjioni katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma na kusababisha kero kwa Wananchi vimesambazwa na kutatua kero hiyo kwa kuanza utengenezaji wa Barabara inayotarajiwa kutengenezwa kwa kiwango cha lami. Ni siku nne baada ya...
  2. S

    LGE2024 Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi yafungwa Songwe, Wanachama CHADEMA walia kufanyiwa rafu

    Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi kata ya Sogea Mjini Tunduma imefungwa kwa muda usiojulikana katika kipindi hiki cha Uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za wagombea huku chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kikilalamikia kunyimwa nakala ya Fomu walizorejesha kwaajili ya uteuzi wa wagombea...
  3. S

    KERO Morogoro: Wananchi wa Mindu hawana Huduma ya Maji, wanatumia ya kwenye makorongo

    Mimi Mkazi wa Mindu, Manispaa ya Morogoro jamani huku kwetu kuna kero ya maji mno licha ya kuwepo kwa bwawa lakini sisi hatuna huduma ya maji mpaka imekuwa kero inatulazimu kutumia maji ya kwenye Visima na Makorongo hali ambayo ni hatari kwa Afya zetu na ni hatari kupata magojwa ya milipuko...
  4. S

    KERO Responded Vifusi barabara ya Sogea Machinjioni (Songwe) vinaleta usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo

    VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO. Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba serikali kusambaza vifusi hivyo na kuendelea na ujenzi wa barabara hiyo. Kusimama kwa ujenzi wa...
Back
Top Bottom