Recent content by sauti nzito

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Noted mkuu, umetisha😀
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    We mama hii ni jamii forums, mijadala inaibuka ili ijadiliwe na itoe majibu chanya kwa pande zote, wewe kwavile imeguswa interest yako umekuja hapa kama umebakwa ukijidai uko neutral😀 English nyingi haina mchango wa maana umetoa sanasana umefanya mashambulizi. "You are a religious fool...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    utaahira wako ni kushindwa kutoa hoja yako bila kushambulia character ya mtu usiemfahamu hata kidogo🤣🤣. Na huna ufahamu wowote wa chochote🖕🖕 , unaweza kufikisha hpja bila tusi wala kejeli na ikaeleweka. Muige user mwenye username ya "stroke" "MATAKO YAKO"
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    😀angalau nimeelewa kidogo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Tolerance inapokuwa abused ndo tatizo linaanzia hapo🤣 It's not fair kutafuta tolerance ya mtu for twelve hours or more, una nafasi ya kutokumkwaza kwanini umkwaze afu utake awe mvumilivu?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    😎maoni yako tumeyaona, na uwezo wako kuchangia hoja tumeuona, ila nakufundisha tu kuwa bus tunazoziongelea ni private property iliyosajiliwa kutoa public service kwa masharti ya kutoa huduma bila ubaguzi wa aina yoyote(kidini, kikabila, kijinsia na kutakiwa na sheria kujiepusha na ubaguzi wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Nani kakwambia kuna mbingu?🤣🤣🤣, ukifa tunakuzika chini mbinguni unaenda na ndege gani?? unapandia ndege wapi??
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Andika onyo kabla ya kukata tiketi kama hiyo property yako hujapanda na baba yako tu🤣🤣
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    unatuona wote kama matako yako sio hatujawahi kupanda ndege🤣🤣? Kwahiyo hadi umefika kwa cabin crew unaweza kufanya maamuzi tofauti kwasababu ya kinachotokea ndani ya ndege? Hadi uwajue cabin crew unaosafiri nao kwenye ndege tayari milango ya ndege ishafungwa ngazi imetolewa chuma inaondoka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Waambie waandike kwenye matangazo kuwa kwenye hii gari tunataka watu wanaopenda injili tu au kaswida tu🤣🤣. Uone kama watu tusiopenda hayo mambo tutapanda
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Naogopa kutaja majina ya kampuni ili nisiwe nawapa watu promo za bure, au nikataja wenye mifano mibaya nikawa naua biashara za wengine walizotumia muda mna nguvu kuzifikisha hapo zilipo. But natamani wajirekebishe wajue wateja wao ni wa aina zote so kila kinachowekwa ndani ya bus zao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Huwezi kupiga miziki ya injili tu njia nzima masaa kumi na mbili afu uko hapa unatusumbua kudai mifano ya maudhui inayopendwa na watu wote🤣🤣. Na kama mwenye bus au kondakta ameamua kwenye bus yake aweke mambo ya dini na ni gari ya umma(kwa maana kwamba wateja wake ni watu wa dini na aina zote)...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    😎😎religious foolishness and slavery
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    nakufafanylia ili uelewe naona huelewi au unabadilisha mada makusudi. sasa hebu jaribu kufikiri siku umeenda kuangalia simba au yanga, afu muda wote uwanjani zinapigwa kaswida tu, au injili tu🤣🤣🤣? Ni sawa hiyo?
Back
Top Bottom