Recent content by satoshi mpelekamoto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa dawa za mafua aina ya cetrizeni leo saa 2 asubuhi, saa 5 asubuhi nikanywa konyagi,je kuna madhara yoyote?

    Ndio mkuu! Shida ipo utazidi kulewa kaa usiendeshe chombo cha moto
  2. S

    JamiiForums Tanzania kuna gari ya petrol isiyo hybrid inatoboa zaidi ya lita moja kwa KM 12 kwa mizunguko ya kawaida ?

    Vitz 2014 1.3L naona imekaa mkao sana spidi nzuri na inajimudu hata ukiwa na safari unachomoka ila kama unataka ya kunusa mafuta kabisa basi 1.0L vitz hii uwakika inaenda above 18km/L ila tu usiwe mtu wa masafa ya mikoani itakufelisha
  3. S

    JamiiForums Tanzania kuna gari ya petrol isiyo hybrid inatoboa zaidi ya lita moja kwa KM 12 kwa mizunguko ya kawaida ?

    Hizo garage nazipataje mkuu tupe maelekezo kidgo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    Siku yenu ikifika hata wengine wakibaki nyumbani kifo kitawafikia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mitsubishi outlander roadest 2010 na subaru forester 2009/10 ipi nzuri zaidi???

    Ahaaa unyamaa maintanance tutapambana tu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mitsubishi outlander roadest 2010 na subaru forester 2009/10 ipi nzuri zaidi???

    Wakuuu na wadau wa magarii kati ya outlander roadest 2010 na subaru forester ya 2009/10 ipi unashauri ninunue kwa matumizi ya safari ndefu na yenye uhakika wa kusafiri rough roads bila kuleta shida ya kuharibika kirahisi na pia 1. upande wa durability ipi inahimili mikimiki zaidi 2. bila...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama unauza piki piki

    -
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama unauza piki piki

    0624081146 jamaa anaitwa Mo mwarabuu kahnyoka sana mcheki anazo hizo model tofauti tofauti
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maandamano makubwa kufanyika Oktoba 29 kuwakumbuka waliouwawa mwaka jana

    Lkn pia kumbuka wizi huo bado hauna ushaidi wa kutosha kiasi kwamba hata sasa hivi huwezi kusema unawafungulia kesi na kesi nyingi zitabakia kuwa story ila matukio ya waandamaji yana ushahidi wa wazi hapo ndo iasue inalokuja mzee
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maandamano makubwa kufanyika Oktoba 29 kuwakumbuka waliouwawa mwaka jana

    Issue kubwa sio maandamano tu issue ni pale ambapo waandamanaji wanaleta vurugu na uharibifu na wizi wa mali za wengjne mitaaani hapa ndo wanapokosea vijana by the way idea ya kuwakumbuka ni njema kama itafamyika kwa ustaarabu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia TANESCO!

    Idea ni nzuri lkn gharama ipo juu sanaa lkn piaa inatakiwa zoezi lifanyike kwa ukamilifu isije watu wakakatwa hela na bado uchafu ukazagaa mitaaani
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tembo zaidi ya 30 wamefika kijijini kwetu, tunaomba TANAPA watusaidie

    😅 saivi ni makazi ya watu mkuu
Back
Top Bottom