Tanesco haijapata MTU au ni mradi wa watu flani,au imeachiwa iendeshwe kisiasa....ila hili LA hujuma laweza kuwa sahihi..haiwezeiani kila kukicha tanesco ni majanga.
Kwani walimu,madaktari,vifaa tiba,vifaa vya kufundishaia n.k. vinagaramiwa na nani?
Nafikiri ni wakati muafaka sasa Siri-kali...
Nchi ngumu sana hii. Jamaa nae anahisi alivumilia sana lawama sasa ndio kaamua kujotokeza kuusema anaohisi ni ukweli!!
Kupanga ni kuchagua na bwana maharage anapaswa kujua umeme ni sawa na huduma nyingine za jamii km ilivyo maji,barabara,afya,elimu n.k.Public goods...
Sio 27,000 tu inaweza...
Kuna ukweli mmoja tuu, na ukweli una upande mmoja tuu.... Ni hatari kwa taifa kwa vijana wapofu wa fikra km wewe kuwaza kuwa yeyote anayesimama kusema yanayosemwa na wasio serikalinu au wasio wana ccm basi atapachikwa majina hayo ya upinzani,ya vyama,uanaharakati n.k
Kuna ukweli mmoja tu, na ukweli una upande mmoja,km ukweli umeangikia upande wa kuonesha madhaifu ya serikali isitafsiriwe anainanga serikali Bali ukweli ndio umeegemea huko
Kwanini busara itumike upande mmoja unaodhihirika kukandamizwa?kwanini kumtendea MTU ubaya makusudi halafu umtake akupigie magoti? Vaa viatu vaa hawa watu ndugu....wapo wanaoweza kufanya hivyo kama njia ya mkato pia wapo wasioweza kufanya hivyo kwa kusimamia wanachokiamini kama ambavyo Lisu na...
Asili yake ni ngumu kuiacha.....ilikua ni kosa kumkaribisha nyumbani..ataendelea kuwavuruga si ktk UVICO TU. Hata polepole atawapa shida sana kijani. Anaanza kurudi ktk asili yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.