Recent content by sarikoki

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Huyu ananichafua tu humu ndani....amesikia nimetangaza nia jimboni kwake.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Uko sawa kabisa..kuna mtu hapa kasema kila mtu ana njia yake ya kurelease matatizo..... kulia ni moja wapo ya kuomba toba. ata mfalme daudi alipozini na yule mke wa mtu alifunga na kuomba huku akilia na kujigaragaza chini.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Kulia ni dawa nzuri sana.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Mkuu Nilishasema humu ndani mke wa mtu sitaki na wala sijawai kufirkia...mbona wako wengi tu ambao hawajaolewa.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Kulia ni moja wapo ya toba. hatamitume pia walilia. Wanasema everythings happens for a reason. Majaribu na magumu saa ingine unayapata kama adhabu au malipizi ya mabaya unayoyafanya au uliyoyafanya wewe au hata wazazi wako. (Laana.)
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Jaribu mkuu.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usichoke kulia

    Wakati mwingine najifungiaga ndani nikimshukuru Mungu kwa kufikiria mambo mengi sana yaliyonitokea katika Safari yangu hii ya Maisha mazuri, mabaya sikuwai kukata tamaa. Kuna vijana wenzangu wengi wanapitia magumu mengi ya maisha kama mimi niliyopitia. Unaweza ukawa unaumizwa kwenye mapenzi...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume rijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja tu

    Kuna dada mmoja alishawai kucoment huku simkumbuki alisema hivi " mnatutia aibu sana waume zetu, tunajua kabisa hamuwezi kitu kitandani bao moja tu tena la sekunde, alafu kila siku mnachepuka. akamalizia akisema " sisi wake zenu ndio tunaona aibu" mwisho wa kumnukuu.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Evelyn salt Vs Heaven on Earth, miss chagga Vs miss neddy

    Mgonjwa wangu Heaven on Earth mniachie jamani...mshono bado haujafunga
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejifunza mengi katika mahusiano yaliyopita

    Kumbukumbu sio lazima iwe ya mambo mazuri. hata hiyo ni kumbukumbu pia.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki Mpaka Mchumba

    Ungesema hivyo sasa....siku hizi mnavaa pete mpaka kule south. Mnatoboaga eti. nikikutana nayo dushe lazima isinyae.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto anapochukua attention kubwa kupita mke

    hahaha, ni kweli aisee. hapa nyumbani kaka zake wenyewe wanakiona cha moto.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto anapochukua attention kubwa kupita mke

    Hasante sana kwa ushauri, nafikiri nitajifunza tu taratibu.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto anapochukua attention kubwa kupita mke

    They are adorable.... utatupa mrejesho mkuu.
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto anapochukua attention kubwa kupita mke

    Nakumbuka kuna siku tulienda kwenye harusi moja hivi. Sasa ikafika wakati wa baba wa bibi harusi kutoa nasaha.......aisee yule mzee alikua analia mpaka kwikwi, nilicheka sana......njia nzima tunarudi nyumbani mimi nikimkumbuka yule mzee nilikua nacheka mpaka wife akawa anakereka.......wanasema...
Back
Top Bottom