Personally ntawaongelea wenye nacho hatuwezi kuokoa wote but wanaowezekana tuwaokoe
To the government and graduates,.tangazo la bodi ya mikopo linasema litawafadhili wanafunzi 160,000.
wazo langu.,
hakuna muujiza, wala mtu atakaekuja kuokoa wasomi katika dimbwi la jobless yaani ukosefu wa...