Recent content by sara-22

  1. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Duh 👆kumbe kosa kukosea in Text typing!!!! Yaani kama watoto haki ya mungu! Anyway thanks
  2. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    I meant the clothes are they the same types of style i sended
  3. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Thanks alot kamanda but may i please i you.., are they the same like this types of style?!!
  4. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Oh! Please nipe anwani zao kule 1.5$ duh please nipe tufanye biashara nzuri
  5. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Zilizo baki ni hiimilitary slim jacket
  6. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Ni mashati tu!! Na bei zinatafutiana ..! Na zote stock zimeisha imebaki hizo jacket ndo maana nilisema oda Kwanza !.,na pia mna haki ya kuchunguza shati kabla ya kutoa oda yako! Mfano ya hi shati bei yake Ni 65,000 kwa jumla 45,000
  7. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Kuanzia 50 mpaka 500 pis
  8. sara-22

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua nguo kwa jumla

    Habari zenu ndugu.. Leo nimerudi na biashara ya nguo.., natafuta wateja na wanunuzi wA jumla.. Nimeingia natafuta hapa mtandaoni no one knows labda nitapata good ideas .., na mpaka sasa natafuta duka mjini ya kuuza biashara yangu .. Kwahiyo atakaye kua tayari kununua Soma inavokua 1) Hamna...
  9. sara-22

    JamiiForums Tanzania Mikopo Mikopo

    😳😳😳😳😳ًmwezi moja tu!!! mbona ni muda ndogo sana .,, kama unataka let it be for six mounth hivo utawasaidia waliokua na haja
  10. sara-22

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Dar

    Hasante mkuu kwa matumaini yako kwangu kufanikiwa
  11. sara-22

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Dar

    Habari zenu Kama nilivosema kua natafuta kitu hakipo dar , sasa nishapata kitu hakipo tanzania nzima nitaanzia kidogo kidogo sitaweza kutaja hizo bidha ila baada kufanikiwa hasenteni sana kwa msaada zenu wakuu
  12. sara-22

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Dar

    Nishafikiria kuhusu sembe lakini not interested on that !!
  13. sara-22

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Dar

    Hamna wote niliowapata ni watapeli tu! na nimeacha kazi hi nimesumbuka sana
  14. sara-22

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Dar

    Ndio nishampata na nimzoefu wa bajaji sana kwa wiki ataleta 180,000 vipi kwani?!
  15. sara-22

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Dar

    No bado sijapata bei nzuri ipo tu inafanya kazi
Back
Top Bottom