Recent content by saohill

  1. S

    Tatizo la foleni dar

    Nakubaliana na wewe katika hoja ya location lakini ukubari pia kuwa kutokana na tatizo la public transport kila mtu anatamani kuwa na gari na hivyo msongamano kuongezeka. Kama kukitokea parking za uhakika zenye usalama na kisha public transport yenye uhakika msongamano utaisha hata kabla ya...
  2. S

    Tatizo la foleni dar

    Foleni itapungua pale tu public transport itakapokua imara na si vipanya na costa kutumika.kutumia kodi haiepukiki maana ndicho chanzo peke cha mapato ya serekali. Mimi nashahuli kujengwe public parking maeneo kama ubungu, mwenge,Tazara,na kurasini kisha kuwekwe mageti ili anaetaka kuingia mjini...
Back
Top Bottom