Recent content by sanzy

  1. sanzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wakuu Mimi ni kijanaa mwenyewe umri wa miaka 28 mkazi wa chalinze . Nina uzoefu katika nyanja za Sales and marketing, Security, waiter na kuprint. Naombeni sana sana wakuu wajukwaa mnisaidie kazi , nipo willing kufanya kazi yeyote na mahali popote , pendekezo ni DSM na Arusha...
  2. sanzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari WanaJF mimi ni kijana wa kiume (25) shupavu mwadirifu na nimwaminifu .Sina ELIMU sanaa Nina certificate ya 4m4 tu, nipo hapa kwa ajili ya kuomba kazi ndugu zanguni, nikipata kazi yoyote ambayo inayoweza kusongesha maisha yangu nitashukuru Naombeni mnisaidie Asanteni
Back
Top Bottom