Recent content by sangija mabala

  1. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Ama kweli we mjinga umedhihirisha mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Unatakiwa ujue lipi jiji kubwa na lenye uchumi mkubwa kuliko jingine! Mwanza jiji tangu mwaka 2000 arusha 2010 kingine wewe hujui ni vigezo gani sehemu husika vinavyoangaliwa ili Kuwa jiji Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    We hujui lolote kwani maada iliyopo ni kulinganisha mahoteli!? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Baba umetisha lakini kwa wasioelewa watatokwa mipovu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Wewe ndo limbukeni mkubwa huna evidence za kutosha kuhusu Mwanza Vs Arusha la sivyo na wewe ni wa arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Huo ni upumbavu Mwanza imekuwa jiji mwaka 2000,Arusha mwaka 2010 kama mnafikiri arusha iko juu kuliko mwanza kwa nn haijawa jiji kabla!?tumieni evidence acheni ushabiki wa kipumbavu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Una uhakika kwamba ukumbi wa AICC walijenga wana Arusha peke yao au serikali ilitia mkono wake? Kumbuka mwaka huo arusha hawakuwa na uwezo wa kujenga ukumbi kama huo,usikurupuke Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  9. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hebu kaulizie vizur hiyo AICC walijenga wana arusha peke yao au na serikali ilitia mkono usikutupuke Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  10. S

    Mwanza: Polisi Wameua majambazi sita

    Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza! Watu wengi sana ni mambumbumbu hivi utamhoji vipi ana silaha na mnarushiana risasi? Watz kuna baadhi ya sio lazima uende chuo kikuu
  11. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mi cjaelewa kidogo unamaanisha arusha ipo juu zaidi ya mwanza?
  12. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Usiseme kimji wewe acha ujinga Mwanza jiji kubwa kuliko Arusha! Imekuwa jiji mwaka 2002,arusha 2010 hapo kuelewa mpaka uende chuo kikuu??
  13. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Aliamshe dude
  14. S

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mwanza ndo ya pili kuwa jiji baada ya dar asa wewe unaesema arusha ipo kwa kigezo Gani?
Back
Top Bottom