Recent content by SangaweM

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimepata wazo la kufanya Biashara ya mazao ya chakula (mchele,mahindi,unga,maharage)

    Kwa Maharage nenda soko la msamala songea utapata maharage unayohitaji kulingana na kiwango na soko ulilonalo,kwa upande wa mchele kwa songea hapana sikushauri wenyewe pia wanaagiza mikoa mingine so lazma bei itakuwa ipo juu kwahyo jarbu kuangalia sehemu ya kwenda kununua mchele tofaut na songea...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoboa kupitia biashara ya mazao (nafaka)

    😂😂umeelezea vzur ila gunia la njano kuwa na kg250 sio kwel ndgu,na hata likifika dar haliwez kuwa 750k
  3. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi rahisi kuiendesha hata ukiwa mbali?

    Jaribu hardware na vifaa vya umeme
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Bonge la idea ubarikiwe kaka
Back
Top Bottom