Habari za muda huu.... Kuna tatizo limenipata wakati wa kutafuna kuna upande wa mwisho wa mdono kuna kanyama nakang'ata hivyo inanifanya nishindwe kutafuna vizur nilipokwenda uospital walinambia kuwa fizi zinavimba na kupelekea kunga'ata nyama ya mashavuni wakanpa amxiln na panaldo imemaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.