Recent content by Samweldaniel

  1. Samweldaniel

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Suala sio wanaongeleaje, cha msingi ni kuangalia wanachokisema ni kweli au siokweli! Kama ni kweli its OK na kama sio kweli HATUA ZICHUKULIWE KUONDOA KUCHAFULIWA BILA SABABU
  2. Samweldaniel

    Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

    Kwa hio alitumwa tangu enzi hizo au baadae ndo akatumwa na makosa ya zamani yakafutika??????
  3. Samweldaniel

    Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

    Sasa kama Prof alitumika ili kupata siri iweje asaini mkataba?? Yaani atumwe alafu yeye ndo aweke saini ya madudu?? Anayeweka saini si ndo anaruhusu yafanyike au ....................
Back
Top Bottom