Recent content by Samson mwigune

  1. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanachukua muda kuita watu kwenye usaili LGs na MDs?

    Watu wanawachukuli Poa sana utumishi Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  2. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanachukua muda kuita watu kwenye usaili LGs na MDs?

    Saizi mnataka mvamie mtumbwi wa vibwengu bora tu mtu utulie Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  3. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukiona leo kimya kufika ijumaa kimya tusubili placements ya pamoja kuanzia tarehe 18 ha 31 wa kumi Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  4. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimepiga oral tatu zote nasubili mirija ya asali tyu Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  5. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shortlisted interview no Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  6. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Baada ya kuvamia mtubwi wa vibwengu leo.tukutane baadae unavyosubili majibu kumuangalia mandonga mtwara Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  7. Samson mwigune

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Ushakandwa tayari Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  8. Samson mwigune

    Sekretarieti ya Ajira, mnayajua haya?

    Huwaga kunamakosa hutokea utumishi wanatoa tangazo la Kazi Fulani uwe na certificate baadae wanakupeleka kutokea database unapelekwa sector nyingine uwe na diploma kumbe mtu huyo aliishia certificate Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  9. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ngoja nipumzike tyu Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  10. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tunadandia mitubwi ya vibwengu Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  11. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utumishi walivyopoa km hawapo ofisini,hamna tangazo la Kazi,hamna, placement,na Toka Waite watu kwa usaili kupo kimya sijui wanakandwa tyu raia wa usaili na interview zao za madonga Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  12. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yani mtu ukimpa maswali ya written unasema ulifeli wapi mbona paper jepesi ila ukiingia unakandwa Hadi so poa unaambulia 25 Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  13. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484] Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  14. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tukiona mwezi umeisha bilabila ndio had wakumi Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  15. Samson mwigune

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inabidi atupe details naona hajawai kucomment jf ila leo kacomment kuna la kujifunza tusubili Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom