CHUKI ISIYO SHABAHA.
Makala hii inalenga jamii kwa ujumla kutengeneza chuki zisizo na lengo/dira visababisi, madhara, na namna ya kuondokana na Chuki isiyo Shabaha, Fuatana nami SamNah.
Chuki kwa maana ya kimandhari ni kitendo cha kutopenda tabia fulani au jambo fulani, kwa ufupi unaweza kusema...