TUNA NAFASI YA KAZI, TUNAHITAJI SECRETARY KWA HARAKA, MWENYE DIPLOMA YA SECRETARY
AU
MWENYE CHETI CHA SECRETARY AMBAYE AMEHITIMU KIDATO CHA SITA
PIA MWENYE UWEZO WA TYPING AND POSTING FASTER.
ASIWE NA UMRI WA MIAKA ZAIDI YA 30.
MWISHO WA KUSABABISHA MAOMBI NI TAREHE 18 JANUARY 2013.
SORRY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.