Recent content by samirseif

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamdanganya Waziri, umeme tangu ulivyorudi jana hauwezi kuwasha hata bulb ya Tochi

    Tatixo langu mm niliweza kuomba tarifu lkn majibu hayajanitosheleza kwani naitaji kujua juu ya unit ninazo nunua kwani elf 9000 napata unit 25 lkn nashangaa pale nilipoomba maombi ya kubadilishwa tarifu nimeambiwa ndani ya miezi mwili nimetuma zaidi ya unit 75 wakati hata ununue umeme wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimetuma maombi lkn mpk sasa cjajibiwa shida iko wapi
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco majibu yangu mbona kimya
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamdanganya Waziri, umeme tangu ulivyorudi jana hauwezi kuwasha hata bulb ya Tochi

    Malalamiko yangu kuitaji kujua nini kinaendelea jinsi ya matumizi gani yaitajika kuweza kuweka tarifu 4 kwani nimefanya maombi ya hiyo tarifu lkn majibu hayajanitosheleza kwani kiwango gani kinaitaji kwenye matumizi yangu ili niwekwe kwenye hiyo tarifu 4
  5. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nilipeleka mwaka juzi mwaka jana maombi yangu hayajapokelewa na namba ya simu yangu ni 0713091140 na 0717305958 na namba ya mita ni 37142429820
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naona maombi yangu hayafanyiwi kazi kuhusu tarifu ninayoiyomba nibadilishwe kama barua nishapeleka kisarawe lkn hakuna majibu mbona mnatunyanyasa sana wateja wenu au kuna watu malumu wanao wekwa kwenye tarifu hiyo kama naweza kutumia elf tisa. Mwezi mzima nini shida tanesco naombeni majibu yenu
  7. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunalipia umeme kama tunafanya biashara wakati ni matumizi ya nyumbani tena ya kawaida sana elf kumi unit 26 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi malalamiko yangu juu ya umeme ninao nunua wa shilingi elf kumi napata unit 26 na matumizi yangu ni ya kawaida lkn wengine hiyo hiyo elf kumi wanapata zaidi na ya unit 26 na nikipeleka maombi ya kubadilishwa tarifu lkn ombi langu nikambiwa linafanyiwa kazi lkn mpaka leo kimya kunanini Sent...
Back
Top Bottom