Hata wao ni masikini tu, Tajiri gani anahangaika na kuibia Wananchi wake kila kukicha. Utajiri wa mtu unaanzia ndani yake.
Kwenye vitabu vya dini vinatufundisha kuwa na kiasi kwa kila jambo. Ndio maana unaona watu wengi wanahangaika kutaka kuwa na kila kitu ila mwisho wa siku hakuna kitu...
GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.
Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.
Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha...
Matako kweli hao vijana si ndo mliwapa mikopo ya BRN wamefanya nini cha maana?
Watu nyinyi wajinga mno na wapumbavu mno ndo maana hakuna lolote la maana.
Dr wewe kwa akili yako unaona M/Rais aliongea bonge la point.
CCM mna laana hakuna kitu mnafanya kinaimpact kubwa miradi mingi ni yakupeana ulaji.
Hata hizo ajira uchwara zikitoka mtawapa vijana wa UVCCM kwanza kipaumbele.
Wewe jamaa acha utani hapo Magiri kulima sio maana ya nchi nzima.
BRN ilikuwa ni nchi nzima sio mradi wa kupeleka kijiji kwake kama Mbinge kuanzisha killimo.
Bashe alikuwa ana vision nzuri na juzi ametunukiwa tuzo tatizo alikutana na wahuni wanaonufaika na sekta ya kilimo waka mwangusha.
Yeye anaongelea kuboost ajira 10,000 kwa vijana waende TANESCO na blahblah kibao..
Ajira 10,000 tena kwa mshahara wa laki saba sioni tija yeyote.
Viongozi hawa hawana maono na wapo wamebanana mjini hapa kupiga hela ya serkali hakuna mtu anawaza kuwekeza kwenye vitu vya maana kama kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.