Recent content by Sambare

  1. Sambare

    Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll

    Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya taaluma vinasoma Ikupa S Seba . Je hapo nahitaji deedpoll kweli? Na je Mfano nida na Cheti cha...
  2. Sambare

    Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Acha ujuaji.kama huajelewa ni wewe. Walioelewa washanijibu. Punguza nye****
  3. Sambare

    Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Hapana sio kuhamia. Mfano nafasi za kazi za tra Wamesema walioajiriwa serikalini inabidi kupitisha barua za maombi kwa waajiri wao. Ndo nauliza usipofanya hivo kuna Athari?
  4. Sambare

    Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Hapana sio kuhamia. Naongelea Ukitaka kuomba ajira upya
  5. Sambare

    Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Hapana sio kuhamia. Naongelea Ukitaka kuomba ajira upya
  6. Sambare

    Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili . Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa . 1.Je ispofanyika hivo Athari zake ni nini?
  7. Sambare

    Ninaapply kazi kwenye Ajira Portal lakini napata ujumbe wa :Job Application Failed"

    Hapana Kiongozi . Hivo ndo vigezo vilivyowekwa na ninavyo
  8. Sambare

    Ninaapply kazi kwenye Ajira Portal lakini napata ujumbe wa :Job Application Failed"

    Nimefanya hivo boss . Naona iko sawa . Na huwa na apply zenye vigezo kama hivo
  9. Sambare

    Ninaapply kazi kwenye Ajira Portal lakini napata ujumbe wa :Job Application Failed"

    Vigezo vilivyowekwa ninavyo mkuu ndo maana nikaomba . Kigezo no hiko na nina hio qualification
  10. Sambare

    Ninaapply kazi kwenye Ajira Portal lakini napata ujumbe wa :Job Application Failed"

    Habari Waungwana . Nina qualifications za hii kazi lakini nikiomba inaniandikia hivo. Shida inaweza kuwa nini
  11. Sambare

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Najaribu kuwaza . Tax officer tu walikuwa wanahitajika watu 200 na .. Kwahyo wameona njia rahisi ni kutumia email mmoja mmoja Kuliko kutoa list ya majina mmmh
Back
Top Bottom