Unataka historia ya jinsi vilivyookotwa au ? Hebu kuweni na ustaarabu si lazima kila post uchangie, kama haikuhusu iache tu. huyo mtu aliepoteza vyeti ndio anayetakiwa kujua vimeokotwa wapi siyo wewe! Hivi vyuo havifunguliwi tuu ili tupumzike na huu utoto?
samahani nimechelewa kuuona huu uzi, ila kwa sababu mimi nimepitia hii shida nimeona nikupe ushauri kidogo. Kwa maelezo yako kuwa unapata hedhi ni uthibitisho kuwa mayai unayo. Aliyetakiwa kupima wa kwanza ni Mwanaume. Kipimo cha mwanaume ni rahisi sana tena hakichukui muda umrefu, mwambie mmeo...
Tafadhali kama unamfahamu mwenye jina la LUCY KIDUBO mtaarifu kuwa kuna mtu anavyo vyeti vyake alivyovipoteza, inaonyesha ni mwanafunzi wa UDOM maana kuna payslip za UDOM. Halafu niPM nikupe namba ya mawasiliano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.