Recent content by sam_vee

  1. S

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje majina ya kusaini mkopo yanakuja chuo wengine hatupo?

    Nitafute through 0768867903 nikuelekeze nipo ruco
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu appeal

    Amen kabisaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu appeal

    Ya chuo Mkuu,nisaidie tafadhali
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu appeal

    Mwenye kufahamu jinsi ya kufanya appeal anielekeze tafadhali, Natanguliza shukrani zangu kwako.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    We ngoja dawa yao ndogo,kwani hao watakao pata hizo pesa hawatarudisha? Hakuna maana yakutoa mikopo kwa wanafunzi wengi huku baadhi yao wakionekana kuhangaika nakujutia kwa nn wamechaguliwa kujiunga na elimu ya juu wakati huohuo hata hiyo pesa wangekopeshwa wangetakiwa kurudisha hapo badae,hichi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wizara: Serikali haina uwezo kuwakopesha wanafunzi wote

    We ngoja dawa yao ndogo,kwani hao watakao pata hizo pesa hawatarudisha? Hakuna maana yakutoa mikopo kwa wanafunzi wengi huku baadhi yao wakionekana kuhangaika nakujutia kwa nn wamechaguliwa kujiunga na elimu ya juu wakati huohuo hata hiyo pesa wangekopeshwa wangetakiwa kurudisha hapo badae...
  7. S

    JamiiForums Tanzania 182 wapata mikopo chuo kikuu St Joseph Arusha campus

    Siyo fom four hao ndugu?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la wanafunzi kukosa mikopo: TAHLISO yazidi kuikaba Serikali

    Safi 15000 watajaribu kusogea taratibu ifike walau elfu 10
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bodi ya mikopo (HESLB)

    Cjui huyu jamaa anataka kumaanisha nn" mavyuo ya kisanii" Hebu atufafanulie kidogo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

    Ahsante Mkuu, me nimechaguliwa Ruco bach of environment heath science with information technology alafu best angu ananicheka chuo gani cha kizembe akati yeye kachaguliwa udsm akasoma bach of library and Info's study anajiona mjanja, nimemuonea huruma sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Environment Heath Science

    Sawa mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliochaguliwa MUCE

    Majina ya muce yapo kwenye list ya udsm au kwenye web yao?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliochaguliwa MUCE

    Majina ya mkwawa nisaidieni ntayapata wapi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Environment Heath Science

    Sawa next time jaribu kutofautisha uelewa wa akili wako na waxwingine coz may you be in the same group kama hujitambui, Thanq ue kwa kujarib kunielewasha
  15. S

    JamiiForums Tanzania Environment Heath Science

    Thanks uko mwelewa mkuu,nimekuelewa We hujielewi I hope, mbuzi na environment health science wapi na wapi? Acha uchokoraa au elimu yako unafananisha na kila mtu co?don't you have another place rather than being here? Damn..
Back
Top Bottom