Ni moja Kati ya Vijana wachache wa Kitanzania -- aliyethubutu kuwa na nidhamu katika kujifunza kutoka kwa watu mbali mbali na ubinifu ambao ulileta matunda kwake mwenyewe na kuiinua jamii iliyomzumguka.
Amethubutu kuonyesha inawezekana pata kipato bila UFISADI au uchakachuaji wa VIWANGO vya...
Mchango mzuri katika tasnia ya fiamu Tanzania - "The Great" jina muafaka... Kutoka kwa akina mzee Jangala & Kipara na magwiji wengineo Kijana alijaribu na Mchango wake umeleta mabadiliko, kwa kuzingatia Kiwango chahe cha elimu alijaribu.
Yake yamekwisha kazi kwa tuliobaki kuweka sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.