Naomba niiweke sawa hii wakuu,kampuni yetu inahusika na uuzaji na usambazaji (mobile fueling), unatupigia simu tunakuletea mafuta popote ulipo ndani ya Dar es salaam
Kama title inavyojieleza hapo juu wakuu,mimi ni mtu wa masoko kutoka kampuni ya Riyakh logistics,kampuni yetu inahusika na usambazaji wa mafuta ya petrol pamoja na diesel mahali popote pale ndani ya Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0712666415
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.