Kuna watu wana akili ndogo sana mm nimeshare experience yangu nilichokutana nacho ili mtu mwenye sifa zaidi yangu aombe lkn unaishia kuambiwa cjui mm ndio nani ujinga ni mwingi sana hii nchi
Yaah nilichogundua wanataka mtu uwe na experience ya miaka mitatu kwenye commercial sales hawataki longolongo mm nilijua wameweka kama mkwara tujichuje
Ndio maana ckusema mengi mm nimetoa room ya mtu kujiridhisha mm nime share experience na kilichonitokea na nilikiwa cautious kwa sababu nilikuwa na mawazo kama yako so instead of kubwabwaja humu ungechunguza na kuwasaidia wengine wapate taarifa kamili watu kama nyie ndio mnapotosha maana halisi...
Tatizo lenu mnawaza negative tu mm mwenyewe nilihis hivyo lkn nimefanya nao hadi oral nimeshindwa mwenyewe ndio maana nimewa incourage wenye sifa wajaribu... kutapeliwa ni tamaa zako binafsi ww mtu unatafuta kazi halafu mtu humjui anakuambia utume hela unatuma c uzwazwa wako waache watu wajaribu
Daah niliwachukulia poa kwenye stages za mwanzo hadi waliponipangia tarehe ya oral ndio nikajua kiasi gani wako serious ila wanaonekana bado wanahuitaji
Hello wana,
Jamvi niliomba nafasi kwa hawa jamaa wa Car Tracking since last week na nimefanya interview nao kadhaa ikiwemo ya Oral through WhatsApp calls ila leo wamenitumia email kwamba wamenimwaga may be sababu sina experience ya sales mtu yyte ajaribu inaonekana wako serious.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.