Recent content by Sam breezy_21

  1. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Naomba unishauri course gan nikiomba naweza kupat hapo mlimani ukilinganisha na ufaulu wangu
  2. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Shida ndo hiyo Kuna me alinifanyia application na me sikutaka kwenda education kabisa
  3. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Kama unavyoona hapo nmeke Kam unavyoona hapo kwny selection yangu nmekua selected Moja kwa Moja education lakn hiyo selected in a more preferred program sijaelew inakuaj
  4. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  5. S

    Naomba msaada wenu kuhusu kozi za chuo

    Ninafanyaje application upya coz sioni option ya ku apply upya et
  6. S

    Naomba msaada wenu kuhusu kozi za chuo

    Naomba msaada wenu Iconfirmation yangu UDSM; nahitaji kwenda Law moja kwa moja lakini wameni-select Education na Law pia.
Back
Top Bottom