Recent content by SALVATION ARMY

  1. S

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    dr. Slaa hana umungu,ila alimlilia mungu kwa kuibiwa kura zake na magamba na Mungu anaendelea kujibu maombi yake,nchi haitawaliki na magamba yataendelea kuruka na kukanyagana.hope unajua wabunge wa wamagamba wanavyohaha baada ya posho kuelekea kufutwa,ama kweli wabunge wa magamba wachumia matumbo!
  2. S

    Jenerali Ulimwengu: Kikwete ni 'bingwa wa kupasia mipira'

    hope akina FF nao wameshaongezewa posho zao na magamba kwa kuwatetea hata pasipostahili maana kazi ni ngumu sana kuifanya akili timamu isitambue ukweli.
  3. S

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    :juggle:DR.BANNA MOJA YA WASOMI WENGI WATUMWA WA MAGAMBA,HAWAJIAMINI NA ELIMU ZAO KWAMBA WANA AMINI BILA KUTETEA MAGAMBA HADHARANI HAWAPATI VYEO.AIBU WANATUMIWA KURUBUNI UMMA WA WATANZANIA WACHACHE,WALIO USINGIZINI.CCM HAINA MVUTO KWA KUNDI LA VIJANA WENGI NA HASA WASIOTAFUTA AJIRA KWA VIMEMO...
Back
Top Bottom