Recent content by Salumu Mohamedi

  1. S

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Kama hauamini uwepo wa kifo na Mungu kamwe kifo kinapompata MTU usiseme kuwa sisi tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi ikiwa kifo hakitoki kwa Mungu , Mungu atampendaje MTU huyo?
  2. S

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Na kama kwa Mungu hakuna kifo kwa mini watu , wanyama na viumbe vinginevyo hufa na kutowrka kabisa? na he huwa wanaenda wapi.Mwenye akili timamu na kujua uweza wa Mungu lazima atafakari hili.
  3. S

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Naomba jiulize .Je Adam na Eva na wote waliotangulia kwa Muumba wamekufa kimakosa?
  4. S

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Yeyote asemaye kwamba kifo hakipangwi na Mungu basi mtu huyo hana Mungu na wala hamjui Mungu. Kwa kifupi no kwamba Mungu ndiye mwenye kutoa uhai na kuhuisha
Back
Top Bottom