Recent content by salummsimbetz

  1. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Chuzi ndo mtunzi
  2. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Kazi zote nzuri mkuu umechagua
  3. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Safari ya gabo na aisha bui ya sasa hivi safari anayosemea mkuu huyo ni mov ya mda mrefu sana
  4. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Kitambo sana hiyo kazi ni ya chuzi safari hiyo jura ndani
  5. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Kazi nzuri jb mwenyew
  6. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    makini Sana mkuu
  7. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Je, Filamu ikiwa mbaya na ikakosa ubora yupi anapaswa kulaumiwa na kwanini?

    producer kazi yake si inajulikana Mkuu yeye ameandaa Kila kitu anakuja kumpa jukumu director kwamaana hapo teali pesa imeshatumika Kila kona so kazi ikiwa ovyo kosa la director Sio producer kwa maana yeye ameewekeza pesa kusimamia filamu mwanzo mpaka mwisho director ndo jukumu lake
  8. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Je, Filamu ikiwa mbaya na ikakosa ubora yupi anapaswa kulaumiwa na kwanini?

    sawa mkuu yote mawazo
  9. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Kazi nzuri anajua
  10. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya KITANZANIA unaipenda na huwa uchoki kurudia kuitazama ?

    Umetisha Sana mkuu
  11. salummsimbetz

    JamiiForums Tanzania Je, Filamu ikiwa mbaya na ikakosa ubora yupi anapaswa kulaumiwa na kwanini?

    Uko sawa mkuu łakini Director ndo wakupewa lawama cz ktk filamu yeye ni km moyo katika mwili WA binadam yeye ndo Kila kitu kuhusu script, costume na vitu vingne vya production hilo ni darasa lingine ila filamu kuwa mbaya director ndo wakuwajibika na filamu kuwa nzuri director ndo wa kupongezwa...
Back
Top Bottom