[emoji120][emoji120]Shukran zangu kwako chief, baada ya kupata mrejesho wako, siku kata tamaa nilipambana hatar, mpaka yanafika majira ya saa nne usiku nikafanikiwa, Lakin kila ninapopiga picha inatoka kivuli tu, nikachana nayo, Leo mchuano ukaendekea na alhamdulillah nimefanikiwa na picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.