Recent content by salmin siraj

  1. S

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa; ushauri wa kitalaam, changamoto, mawazo na masoko

    Watu walioactive mnaweza kujoin group letu la ufugaji wa ng'ombe wa maziwa tuendelee na mijadara ya ufugaji https://chat.whatsapp.com/GfXUJGy2fv52fPc3Ro5ueX
  2. S

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa; ushauri wa kitalaam, changamoto, mawazo na masoko

    Habari ya leo wafugaji nlipotea leo ngoja niwape somo la utunzaji wa ndama nimewamiss mno[emoji16] Utunzaji bora wa ndama toka kuzaliwa mpaka kufikia miezi mitatu Baada ya kuzaliwa ndama anatakiwa kuwekwa sehemu kavu yenye kivuli na sehemu isiyofikiwa na mvua kwa urahisi ili kuepuka hatari ya...
  3. S

    Nguruwe kujikuna na kuota vidonda

    Inawezekana ni mange infestation nunua acaricides kama amitraz au cypermethirin uwaogeshe na wachomwa dawa za minyoo kwa interval ya week mbili watakaa sawa
  4. S

    Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Ulokua nayo wewe no ya aina gani mulato au brinzatha?
  5. S

    Naomba kujuzwa tiba kwa nguruwe aliyedumaa

    Ana umri gan?tuma picha pia upate ushauri mzuri
  6. S

    Nguruwe wangu ametokwa na mapele kuzunguka titi

    Mkuu umegoma kutuma picha tukupe msaada
  7. S

    Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Nguruwe ni wako aina gan local ,hybrid au pure breeds? Formula za chakula ni nyingi kutokana na requiremnet na status za mnyama. Kwa ushauri zaidi juu ya ufugaji wa nguruwe nicheki 0624227458 bila gharama yeyeto by dr siraji
  8. S

    Mradi Ng'ombe wa Asili

    Sahihi kabisa though kufuga ng'ombe wa kienyeji kwa project ya maziwa uwezi kutoka kirahisi awali ya yote kumbuka ng'ombe atazalisha lita mbili ambazo pia ndama anategemea kunyonya hapo hapo na ng'ombe wa kienyeji wanachukua mda mrefu kua matured hivo project itachukua mda mrefu kumpa faida...
  9. S

    Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

    Nimejaribu kupitia comment za ushauri wa watu mbali mbali kuona jinsi gani wanavokushauri kutatua changamoto uliyonayo mi binafsi maoni yangu yako hivi Kutokana na picha hapo tunaona vifaranga wa bata wako katika mazingira machafu napata picha kua hii ndio sababu ya yote yanayotokea inawezekana...
  10. S

    Ufugaii Nguruwe vs ufugaji Kuku

    Kwa sasa pure breeds na hybrid zinaonekana kua na faida zaidi ya kuchinja mfano mtoto aliechishwa anauzwa kuanzia laki 2 nakuendelea ukiangalia kwenye chakula anakua ametumia kiwango kidogo sana mpaka kufikia hapo zaidi ya kunyonya kwa mama kwa maoni yangu ukiwa breeder utapata pesa zaidi.
Back
Top Bottom