Wakuu naomba kama kuna mtu anamjua mtu aliyewahi kufanya utafiti baina ya sheria ya ndoa ya Tanzania na sheria ya kiislam kwa lugha ya kiarabu au ya kizungu.
Naombeni msaada kumfikia na kama nimekosea jambo naomba msamaha wenu nimejiunga hili jukwaa leo nimeambiwa na swahiba yangu kama nitapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.