MARADHI YOTE YA MOYO [emoji117]Jiusi ya limau kikombe 1
[emoji117]tangawizi Juisi kiKombe 1
[emoji117]vitunguu Saumu Juice ki Kombe 1
[emoji117]Siki ya Apple (tufaha) ki Kombe 1
Changanya yote hapo juu na Chemsha kwenye joto la chini, Takriban nusu saa, angalia mpaka ibaki vikombe 3, toa...
tumia juice ya Tende changanya na Maziwa pia tumia h sauda changanya na tangawizi mdalasini na asali uwe una lamba kijiko 3 kutwa mara tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
tumia majani ya msagi sagi chemsha kisha kunywa kikombe kimoja kutwa mara tatu siku kumi 4 km huyajui njoo what's app nikutumie picha 0710 271 852
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.