Recent content by Salha255

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Niwahakikishie Wananchi, Tanzania tuko salama, chapeni kazi ili kuleta maendeleo, uimara wa Taifa letu unaleta maneno mengi, msibabaishwe na maneno ya Watu walioko nje”. Mhe. Samia Suluhu Hassan – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    i support you kabisa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    This has nothing to do wih our president wamesema an African leader kwani ni Magufuli pekeyake mbona watu tunakuza sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Nadhani kuhusu kumuombea viongozi wetu wa nchi wajibu wa kila mtu katika Imani mabalimbali iwe hadharani au la ni wajibu Rais yupo salama nayupo kazini
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

    Watanzania ni wakati sasa tuwe wasikilizaji wazuri wa taarifa maelekezo yanayotolewa na viongozi wetu wa Serikali Tunaambiwa tujikinge basi tufanye hivyo lakini tunakumbushwa Mungu anasikia hivyo tuwe na Imani nae kwani yeye ndiye muumba wetu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    tuanzie hapa nani amepeleka vijijini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    Unataka wakuletee hatua hizo nyumbani mbona mambo yanaeleweka ila watanzania tunaakili za kuchomwa sindano ilikuboost akili zetu na ikumbekwe sio kila nayekufa saivi ni Corona
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    kuhusu kujiki nga hatujaambiwa pia Wizara imesema au la?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    mbona ni simple sana au katika imani yako hamjafundishwa Ulimi huumba sasa unapotamka jambo unaumba jambo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    ni yeye mwenyewe anafata unadhani kwann anawaza hivyo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    Kwani Serikali imesemaje
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    comment yako apo inakuaje
  13. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    ungekuwa daktar sawaa ila hata connection ya moyo na corona maana corona ni katika mfumo wa upuaji sasa wapi na wapi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    wew ndiye unafata fanya kuaga vizur
Back
Top Bottom