DAWASA
Ni wiki 2 tangu complain yangu # 644 itoke na hamjatoa jibu lolote, sijui tuwape jina gani ninyi mnaotesa jamii kwa kuwabambikia unit wateja ili muonekane mnakusanya mapato makubwa???? Shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Meneja mkuu nisaidie kibaha pwani wamenibambikia unit 100 hewa ambazo wanasema za mita ya zamani ?kuthibitisha wameshindwa but wanalazimisha shs 165,000/= zilipwe na hata meneja kaandikiwa barua 2 hajibu.Hivi nyie mkoje?ankara zaonyesha nalipa vema bill za @ nwezi 2018/19 na sidaiwi.Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.