wiseboy, simu inafanya kazi na sam mpaka ufanye setting. Unaweza fanya ziwe zinawasiliana au zisiwasiliane. chingunduli, Gear2 inafanya kazi na Note 4 bila shida.
Wadau nataka kununua mashine ya MaxMalipo. Naomba yeyote mwenye information ya sehemu zinapopatikana na jinsi ya kuiunganisha na mtandao, tafadhali ani PM.
Natanguliza shukrani zangu.
Gear ni zaidi ya saa. Ina synchronize na simu kupitia bluetooth, inakuletea mawasiliano yote ya simu kwenye saa. Kama sms, emails, Whatsup .... na unaweza kupiga na kupokea simu kupitia hiyo saa.
Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2. Zote ni original , zipo kwenye hali nzuri sana. Zimetumika kwa miezi 5 tu. Starting price kwa zote ni Tsh. 900,000/=.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.