Hv sasa hata wasio soma nao wanawadharau walio soma et kisa wanatafuta ajira halaf unatakiw kujua maana ya elimu ili na ww ujue cha kuisaidia jamii yako usiwaulize tu et waliosoma wameisaidia nn jamii bali pia jiulize na ww pia umeisaidia nn jamii baada y kujua maana ya elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.