Recent content by Sakizia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    UWEPO WAKO MTU KAMA WEWE TU NI UTHIBITISHO TOSA KUWA MUNGU YUPO
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    kiazi sio? sikulaumu najua sio kosa lako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

    babu yako alikuwa anaona unamzingua tu ndio maana kakujibu hivyo wanume wanakufa haraka sabab ya mizigo wanayobebeshwa wasiyostahili bro, unaoa mke apo apo anakuletea wadogo zke uwasomeshe ilhali na wewe unao wadogo ambao bado wanasoma, hapo hapo baba mkwe anaami kwako anasema kaja kuwatembelea...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    ujinga sio ? we subiri hivo hivo halafu siku yakikukuta ndipo utakumbuka
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    bro watoto wanamna hiyo wanakuaga sio wachawi au wala hawahusiani na shirki yeyote isipokuwa ni aina tu ya daraja zao mungu anazowapa yaani mara nyingi hawa huwa na daraja kubwa hivyo nahisi uwepo wao labda hauhitaji msaada wa mtu au ni mola mwenyewe kwa daraja zao ndio hua kiongozi na mlezi wao...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    bro hiki tunachokisema hapa si uchawi wala uzushi ni kitu ambacho kipo we kama hauamini binafsi sikulazimishi ila siku ukiona mtu limemtokea utaukumbuka uzi huu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    we si bure utakuwa ni mmoja wao tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    mjomba we ukiambiwa kuna upepo ushawahi kuuona si unauhisi tu na kuusikia masikioni? hivyo hivyo na mambo haya usipoamini yakikukuta shauri yako
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    mi siweezi nikathibitisha sababu sina mpango wa kuchezea moto we kama unaweza kucheza na moto cheza na baba
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    weweee waambie haooo !!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    wewe endelea kukataa hivyo hiyo na mimi sina haja ya kukulazimisha uniamini sababu nimeongea kitu ambacho kipo hata ukikataa, qadari inaweza ikakukutanisha nao siku moja nadhani ndio hapo utaamini kwa vitendo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    umeona eee, hii vitu vipo watu wabisha sasa ona hapa hata makabila ya kiafrika zamani walishagundua hili na wakawapa haddi na jina kutokana na waliyokutana nayo na hadi mila wameziweka za kujiepusha na hatari zao wewe unaebisha uliyezaliwa juzi ni nani?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    kama manabii na yesu ni watoto waliotumwa na mungu basi elewa kuwa wapo watoto pia walotumwa na shetani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    wacha uwongo wewe yesu hakusema watoto ni watakatifu wala hakusema ufalme ni wao bali alisema mtu yeyote ata kae upokea ufalme wa mungu yaani ujumbe wake kama mtoto mdogo anavypokea vitu anavyofundishwa bila mashaka wala kuhoji basi huyo ni wake
  15. S

    JamiiForums Tanzania Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    ha ha ha !! pole sana inawezekana nimepiga kidonda inawezekana wewe ukawa ni mtoto uliyeua wazee na walezi wako
Back
Top Bottom